Saturday, November 8, 2014

Fall Fashion Haul: Clothes, Shoes, Hats & MORE!

MENS CASUAL WEAR

Kila mtu anahitaji kuwa smart na muonekano wa tofauti, Tunafahamu kwamba uvaaji wa t shirts na jeans humtoa poa kila mtu. Lakini uvaaji wa t-shirts na simple jacket au sueta nje humfanya mtu aonekane tofauti kama hivi

SWAHILI FASHION WEEK 5th-7th DECEMBER 2014

Swahili Fashion Week ambayo hukutanisha wabunifu wa mavavi kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Kati litafanyika tarehe 5 - 7 mwezi Desemba mwaka 2014