Pages

Saturday, November 8, 2014

SWAHILI FASHION WEEK 5th-7th DECEMBER 2014

Swahili Fashion Week ambayo hukutanisha wabunifu wa mavavi kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Kati litafanyika tarehe 5 - 7 mwezi Desemba mwaka 2014


Katika onesho hilo kunatarajiwa kuona vitu tofauti na vikubwa zaidi kutoka kwa wabunifu hao wanaozungumza lugha ya kiswahili kutoka nchi mbalimbali, vile vile changamoto kubwa kwa wabunifu hao ni ushindani kutoka kwa wabunifu chipukizi ambao wanahitaji kufanya vizuri ili kujitangaza na kutafuta soko la kimataifa.

No comments:

Post a Comment